Friday, April 25, 2014

HABARI PICHA: ETI WA MIKOANI MTUACHIE DAR YETU...!

Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili...

Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?

No comments:

Post a Comment

INAYOFANANA

QWWWWWWWWWWWWWWW

Popular Posts