Friday, March 7, 2014

OOOH..KUHUSUI BINTI WA RAISI MUSEVEN WA UGANDA KUKIRI KUWA NI MSAGAJI...!JIONEE MWENYEWE UKWELI HAPA...

Abril Uno, ni jina lenye maana ya ’1 April’ kwa Kihispania, ambayo ni siku ya wajinga.Ile taarifa iliyoonekana kuchanganya watu na kutokana na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii hapo jana ya kwamba mtoto wa kike wa Rais wa Uganda alijitangaza kuwa ni msagaji, taarifa hiyo sio ya kweli.
Imeelezwa kwamba habari hiyo ilianzia kwenye mtandao mmoja wa nchini Marekani itwao Abril Uno, ambao uliandika habari hiyo wiki iliyopita siku ya Jumatano.

Kwenye tarifa yake mtandao huo ulitania kwa kuandika kwamba Diana Kamuntu, mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amejitangaza kuwa ni msagaji kwenye mahojiano na kituo kimoja cha redio.

Taarifa hiyo ilisema: “Mimi ni msagaji, ninafanya mapenzi ya jinsia moja. Nimelijua hilo toka nilivyokuwa msichana mdogo,” taarifa ilimnukuu Kamuntu.
Kwenye mtandao wa Abril Uno ulimtaja muendesha kipindi wa redio hiyo James Kasirivu, kuwa ndiye aliyekuwa akifanya mahojiano hayo, na kusema kwamba “alipatwa na mshangao na mpaka aliishiwa na maneno ya kuongea toka kinywani mwake.”

Maelezo hayo yalisambaa kwenye mitandao mingi Duniani, huku wengine kuitoa na wengine kuiacha.

Watu wengi waliguswa na taarifa hiyo huku baadhi yao wakiandika kwenye kurasa zao za Twitter katika hali ya kumuunga mkono Kamuntu:


Abril Uno, ni jina lenye maana ya ’1 April’ kwa Kihispania, ambayo ni siku ya wajinga.

Hivyo akili Kichwani Mwako. 
via-abri uno, PointBlankNews

KIMENUKA..WABUNGE WA KENYA NAO WATAKA SHERIA KALI DHIDI YA MASHOGA NA WASAGAJI...!SOMA ZAIDI HAPA...!

Mwandishi vitabu Binyavanga Wainaina aliyetangaza majuzi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja
Mbunge Irungu Kang'ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa majuzi la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Sheria zilizopo zasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela.

Kenya huenda ikawa nchi inayofuata kwenye utata unaohusiana na haki za wapenzi wa jinsia moja, huku wabunge wakipanga kuwasilisha mswada bungeni kushinikiza serikali kufanya juhudi zaidi kutekeleza sheria zilizomo za kupiga marufuku ushoga.

Nao wanaharakati wa kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wanasema shinikizo limeongezeka tangu nchi jirani ya Uganda kupitisha sheria dhidi ya mashoga mwezi jana.

Irungu Kang'ata, ambaye ni mbunge kwa mara ya kwanza anaongoza juhudi za kundi lililoundwa majuzi la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Katika kampeni wazi kabisa mbunge huyo ameomba chama tawala kuelezea serikali inachukua hatua gani kutekeleza sheria zilizopo dhidi ya mashoga.

Sheria zilizopo nchini Kenya zinasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela. Hakuna aliyewahi kushtakiwa nchini humo, lakini wanaharakati wanasema kuna kesi takriban 8 mahakamani ambazo hazijaamuliwa.

Kundi hilo linalopinga wapenzi wa jinsia moja liliundwa majuzi wakati rais wa nchi jirani ya Uganda Yoweri Museveni alipotia saini sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja mwezi Februari, licha ya shinikizo kutoka kwa nchi za Magharibi asitie saini.Sasa ushoga huko Uganda ni kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kifungo cha maisha jela.

Mbunge Kang'ata anasema anataka kuwasilisha mswada mpya utakaokuwa na adhabu kali zaidi nchini Kenya ikiwa bunge litaamua kuwa sheria zilizopo hivi sasa hazitoshi. Na anawashauri mashoga wajiepushe na matatizo haya kwa 'kufyata midomo'.

Lakini kwa mkurugenzi wa kundi la kitaifa la tume ya haki za mashoga Kenya, Eric Gitari anasema shinikizo hili dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ni njia moja ya kugubika matatizo ya kisiasa yaliyomo na ukiukwaji wa haki za kibinafsi.

Gitari ambaye ni wakili wa kutetea haki za binadamu, anapinga pendekezo kwamba wapenzi wa jinsia moja wakae kimya, akisisitiza kuwa ni wanasiasa wanaolieneza swala hili kwa umma. Kama mwanamume ambaye ni shoga anasema mara nyingi anajihisi kama raia wa daraja la pili Naye mwanaharakati wa kibinafsi Kenne Mwikya, anasema hisia nchini Kenya zinaweka mazingira yafaayo kwa watu kama mbunge Irungu Kang'ata kuamua kuwa wanapaswa kubuni sheria mpya dhidi ya wapenzi wa jinsia moja au kutekeleza sheria zizilizopo.

AIBU...MREMBO AVULIWA NGUO NA KUNDI LA MIDUME BAADA YA KUVAA MINSKIRT KITAANI...!!TIRIRKA NAYO HAPA...11

This lady was smartly dressed in a miniskirt and was headed to her workplace when she was confronted by a group of idle men in the streets of kampala who stripped her naked  and humiliated her badly in broad daylight.
Those rowdy men claimed that the lady's dress code was too provocative and there is no way they were going to tolerate that...
 

SHOCKED..MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU KAWAAMBUKIZA UKIMWI WANAUME 324...!!WAPO MADENT, WANASIASA NA WANANDOA..!!

The beautiful young lady confessed to Kenya scandals that after discovering she had the deadly HIV virus, she is on a mission to destroy the society by infecting 2000 more by the end of this year. Of the 324 she claims to have infected, 156 are students, 3 politicians and the rest are married men, lecturers, lawyers, some celebrities among others.

She says not a day passes before she has sex with at least 4 men and without protection. She also adds that she is on a revenge mission because it's the same men that destroyed her life by infecting her with AIDS.
She is only 19 yrs and she is in 2nd year!

-via kenyanpost

PICHAZ ZA UT*PU ZA MWANAFUNZI MWINGINE WA CHUO KIKUU ZAVUJA MTANDAONI...!!

ONYO LA MWISHO. PICHA HAZINA MAADILI KABISA..

VIDEOOOOOO

VIDEO..MMH..HUDDAH MONROE NA KICHUPI TU AKIFANYA YAKE...!!JIONEE MWENYEWE HAPA...

18+..WANA LAANA SIO BURE..JIONEE PICHA CHAFU ILOVUJA MTANDAONI YA DENT HUYU KAMA ULIMISS....!!

18+..WANA LAANA SIO BURE..JIONEE PICHA CHAFU ILOVUJA MTANDAONI YA DENT HUYU KAMA ULIMISS....!!

Mwanafunzi  mmoja  wa  chuo  kikuu  maarufu  hapa  nchini  amejikuta  akiuanza  mwaka  vibaya  baada  ya  picha  zake  za  utupu  kuvujishwa  mitandaoni  na  mpenzi  wake….
Domo  langu  limefanikiwa  kunasa  nakala  moja  ya  picha  ya  mrembo  huyo  ambayo  imepachikwa  hapo  chini  kama  fundisho  kwa  warembo  wengine  wenye  ndoto  ya  kukubali  kupigwa  za  utupu  na  wapenzi  wao.
Picha  moja  si  nzuri  kuianika  moja  kwa  moja...

INAYOFANANA

QWWWWWWWWWWWWWWW

Popular Posts