Friday, February 14, 2014

OMG..AIBU KUBWAA..MREMBO AFUMANIA PICHA ZA NUSU UCHI ZA RAFIKI YAKE KIPENZI KWENYE SIMU YA MCHUMBA AKE....!FUATILIA ZAIDI HAPA...! 

Ni siku ambayo sito isahau. Siku amini macho yangu siku nilipokuta picha za nusu uchi za rafiki yangu kipenzi Nancy kwenye simu ya mpenzi wangu Dany. Picha zilitumwa watsapp na yeye mwenyewe Nancy kwenye simu ya mchumba angu.

 

MMMH...HAYA NDIO MAPENZI...NYAMA YA ULIMI MPE LAAZIZI WAKO BANA...SOMA ZAIDI HAPA... 

 

MMMH mshaanza eti nimeisha ingia mama Chaunabe kitanga na njia nisiye na bleki kwenye domo langu, wahenga wanasema kinywa cha mkubwa kinanuka lakini maneno hayanuki. Najua maneno yangu ya shombo huenda hayakufurahishi wewe ambaye kila kukicha unabadili wanaume na kuonekana una hila.

Shutuuu dada mwanamke tabia babu wee, mwanamke kujua mumeo anataka nini, mwanamke kujituma kwenye kiwanja kifupi cha sita kwa sita.

Unasahau cha kumvutia mwanaume unakimbilia kuukoboa mwili nani kakuambia weupe mali? Basi mkaa usinge nununuliwa!
Tena leo nakazi na wewe, nani kakuambia weusi ni laana. Basi leo nataka nikuambie wewe usiye na haya uliyemaliza vipodozi mwisho wa siku uso unakuparama kama mchawi mzee, unalo hilo?

Siri ya weusi maana yake ni utamu hata zambarau tamu ni nyeusi, zabibu tamu ni nyeusi na hata usingizi mtamu unapatikana usiku mweusi. Huoni Mzungu akimuonja mswahili anachanganyikiwa.
Wewe unajikoboa Mzungu ajipake masizi? Acha ubwege.

Nimejikuta hata nikisahau kuelezea nilichokikusudia kwa ajili ya malimbukeni wachache, jivunie weusi wako babu wewe.

Tuachane na hayo ambayo kwa kiasi nimejikuta nikipandwa na mzuka na kuingia kwenye mada nyingine. Kama unabisha mwangalie jirani yako anayetumia mkorogo ngozi kama kuku wa mayai aliyezeeka badala ya kupendeza anabakia kituko mtaani.

Acha niendelee na kilicho nitoa nyumbani, shoga leo nilitaka kukuelezea kitu kimoja kuhusinana na tabia  za baadhi ya wanawake kukosa lugha tamu ndani ya nyumba zao kushindwa kuwalisha waume zao nyama ya ulimi. Mwanamke unakosa lugha tamu kwa mumeo hujui kusema asante, hujui kusema samahani, hujui hata kumsifia mumeo!

Mumeo akikuletea kitu unakipokea na kuamnini ni wajibu wake kukuletea una hiyari ya kusema asante au kukaa kimya. Lakini nataka nikuambie shoga kitu kinacho mtuliza mwanaume ni pamoja na maneno matamu. Mfano amerudi toka kazini baada ya kumpokea lazima umpe pole ya kazi.

“Karibu mpenzi pole na kazi,” akikujibu asante, mwambie.
“Yaani kila muda jicho langu lilikuwa likitazama barabarani utarudi saa ngapi mpenzi wangu,” hata kama ulikuwa ndani ukiendelea na kazi zako.

Vitu hivi humfanya mwanaume kuamini kabisa hata anapokuwa mbali nawe bado ulimuweka moyoni mwako, siyo anakuja baada ya kumpokea unabakia kama bubu haipendezi, tumia ulimi wako kumliwaza mumeo.

Mpo katika safari ya huba mkifika pwani lazima mpeane pole na asante kwa kusafiri salama, pengine wewe umewahi mwenzio naye anakufuata pwani msaidie naye afike pwani na baada ya kufika mpe pole pia kumpa asante kwa kukusafirisha vyema katika bahari ya huba.

Usiwe uvivu wa kuomba msamaha unapokosa, hata kosa lenyewe liwe dogo, kumbuka kosa ni kosa na chanzo cha moto ni cheche. Wapo wachache lugha tamu huzitumia kwa muuza genge ili apunguziwe lakini kwa mumewe vitu hivyo havionekani.

 

MMH..HAYA MAUMBO YA WADADA JAMAN BALAA TUPU...JIONEE HII KITU THEN TUAMBIE NI EAL AU MCHINA?!!!

INAYOFANANA

QWWWWWWWWWWWWWWW

Popular Posts